Wazo kwa ving'amuzi (DStv, AZAMtv etc)

Wazo kwa ving'amuzi (DStv, AZAMtv etc)

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,319
Reaction score
4,701
Kwa kawaida makampuni haya yanauza airtime za TV zao kwa packages mfano DSTV family, compact, premium etc... ikiwa na idadi ya channels kulingana na aina ya package.

Kiuhalisia mtu huwezi kuangalia all the channels (kuna channels kadhaa tu ndio your favorite). Mfano, Unaweza lipia kifurushi cha premium ili kupata channel moja au mbili tu ambazo ndio muhimu kwako). Sasa nikafikiria kwanini makampuni haya yasiwe na option ya kulipia channels kadhaa unazozihitaji wewe (a Flexible Package) with say a minimum channels labda ziwe 5 or sth na base price kwa kila channel say BBC iwe like Tshs. 1000 and zile wanazoona ni so high wakaset a slightly higher price say Tsh. 1500 or 2000.

Nakaribisha maoni yenu na constructive criticism.
 
Ni kweli. Kunuua package yenye variety wakati hutumii ni upuuzi
 
Business wise itakula kwao... faida hawataiona...

Wanachofanya sasa, ni kucheza na hizo channels to a point that itakulazima kulipia package fulani ili uweze tu kuona channels fulani...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom