Wazo la biashara (alfajiri)

Wazo la biashara (alfajiri)

Wahi machinjioni Vingunguti saa tisa alfajiri, nunua mzigo wa nyama ya kutosha kisha sambaza kwenye mabucha maarufu katika viunga vya Dar es salaam.
 
Uji wa lishe na maziwa pale magufuri uanze saa 8 usku hapo ni chupa zako 5 zle kubwa kila kikombe jero kila chupa ukmaliza faida ni elf 2 hii ni kwa uzoefu si kuambiwa so hapo huitaji kutembea na jiko ni chupa na vikombe tu bei ya chupa kubwa ni elf 20 moja
 
Muda mzuri sana huu, asante
 
Wahi machinjioni Vingunguti saa tisa alfajiri, nunua mzigo wa nyama ya kutosha kisha sambaza kwenye mabucha maarufu katika viunga vya Dar es salaam.
Kwamba mabucha siku zote hayana suppliers wa nyama?

Kwamba unaibuka tu kuwasambazia nyama waache kuchukua kutoka kwa wasambazaji wao wa siku zote?

Kwamba wewe ni mjinga
 
Kwamba mabucha siku zote hayana suppliers wa nyama?

Kwamba unaibuka tu kuwasambazia nyama waache kuchukua kutoka kwa wasambazaji wao wa siku zote?

Kwamba wewe ni mjinga
Biashara zote tayari zina watu, unapotaka kuanza biashara ni lazima upambanie nafasi kwenye game!. Mdau ameulizia wazo la biashara na ametoa window frame, nadhani maswali unayouliza anapaswa kujiuliza aliyeleta mada.
 
Una elimu ya forex/crypto? Kama crypto jifunze kitu inatwa TRIANGULAR ARBITRAGE TRADING pale binance. Pakua app playstore au appstore. Chagua pair yenye bei ndogo then upande wa juu kulia click COMPAIR MARKET.

Hapo utaona pairs zenye bei tofauti. TRIANGULAR ARBITRAGE FORMULA BTCUSDT->BOMEBTC->BOMEUSDT. Unaweza check route yoyote ambayo inaweza kupa pesa kwa wakati huo BTCUSDT->BTCUAH/TRJ->USDTUAH/USDTTRY.

Ukiwa na $50/100 unyama sana. SPEED YA KUWEKA ODA INABD IWE KALI SANA.

GOODLUCK
 
Back
Top Bottom