Habari wakuu, nina mfumo ambao unamuwezesha mteja kufuatilia mzigo wake kila hatua mpaka unamfikia bila utumizi wa Internet, yaani nipo Mwanza nimeagiza mzigo kariakoo, nikisha lipia, niweze kufuatilia kila hatua mzigo ulipo, utanifikia saa ngapi, utapita wapi kwa mud gani nk bila kutumia gharama yoyote ile ya ziada.na ninaweza pata taarifa kuhusu mzigo muda wowote ule
Nahitaji mtu/watu wakufanya nao kazi ambao watakuwa wanahusika na kukusanya mizigo kariakoo na sehemu zingine za dar na kisa kuisafirisha.
Kwa maelezo zaidi kuhusu hili naomba tuonane PM
Nahitaji mtu/watu wakufanya nao kazi ambao watakuwa wanahusika na kukusanya mizigo kariakoo na sehemu zingine za dar na kisa kuisafirisha.
Kwa maelezo zaidi kuhusu hili naomba tuonane PM