Nakucheck kaka, samahani sikuwa mtandaoni muda kidogoNipo hapa mkuu nimekuwa nikifanya kazi hii kwa muda sasa.Tuchekiane 0745645035 (whatsapp/call$/sms)
Nakucheck piah mkuu,nipo pia 0769698080, naomba fursa ,suala si ni kusukuma izo log, mteja apate infomation kuhusu mzigo recently.
We jamaa mbona ukanikimbia tena bro. Uje tumalize yale machimbo ya kkoo.Nipo hapa mkuu nimekuwa nikifanya kazi hii kwa muda sasa.Tuchekiane 0745645035 (whatsapp/call$/sms)
Kama upo dar tuonane na idea kama hii iliyoboreshwa.Habari wakuu, nina mfumo ambao unamuwezesha mteja kufuatilia mzigo wake kila hatua mpaka unamfikia bila utumizi wa Internet, yaani nipo Mwanza nimeagiza mzigo kariakoo, nikisha lipia, niweze kufuatilia kila hatua mzigo ulipo, utanifikia saa ngapi, utapita wapi kwa mud gani nk bila kutumia gharama yoyote ile ya ziada.na ninaweza pata taarifa kuhusu mzigo muda wowote ule
Nahitaji mtu/watu wakufanya nao kazi ambao watakuwa wanahusika na kukusanya mizigo kariakoo na sehemu zingine za dar na kisa kuisafirisha.
Kwa maelezo zaidi kuhusu hili naomba tuonane PM
Nipo morogoro mkuu, ila ni kama sebuleni tu kufika Dar, nicheck PMKama upo dar tuonane na idea kama hii iliyoboreshwa.
Pamoja kiongoziNicheki kwa namba hii 0715298176
MUHIMU.