1ndazMaterial
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 161
- 175
Habari za muda huu wapendwa, hope mko poa kabisa. Guys nina 3m nawaza nifanye biashara gani tho professional yangu ni photography ila naona kama hii pesa 3M ni haitoshi kwa mtaji wa studio nadhan hii ni bei ya camera moja tu kali tena used.
Basi nikawa nimewaza kufanya biashara ya nguo sema hilo duka la nguo linakua lina base tu nakuuza jeans za kike za zakiume kwa whole sale na retail. maana kwa hapa nilipo mimi hamna duka ambalo wanauza jumla jumla nguo, wauzaji wanafuata mwz, Dar.
Je, hilo wazo limekaaje wakuu?
Msaada wenu wana JF
Naomba kuwasilisha.