1ndazMaterial
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 161
- 175
Tabora nzegaUpo mkoa gani
Nikakuunganisha vip ama wapi mkuu be specified nikupate vizuriNaweza na mm ukaniungisha maana nawaza biashara na mm kwa hyo pesa kama yako m3
C hapo ulipo nije kufungua na mimi ndugu ili tuwe wa3 tuNaweza na mm ukaniungisha maana nawaza biashara na mm kwa hyo pesa kama yako m3
Yeah inawezekan ni pm mkuuC hapo ulipo nije kufungua na mimi ndugu ili tuwe wa3 tu
Samahani pm ndo wap ndugu yanguYeah inawezekan ni pm mkuu
Kwa biashara ya nguo subilia kwanza joto lipungue mkuu. Kwani kwa ongezeko hili la joto usishangae watu tukaamua kutembea uchi. Hivyo hutapata mteja wa kumuuzia.Habari za muda huu wapendwa, hope mko poa kabisa. Guys nina 3m nawaza nifanye biashara gani tho professional yangu ni photography ila naona kama hii pesa 3M ni haitoshi kwa mtaji wa studio nadhan hii ni bei ya camera moja tu kali tena used.
Basi nikawa nimewaza kufanya biashara ya nguo sema hilo duka la nguo linakua lina base tu nakuuza jeans za kike za zakiume kwa whole sale na retail. maana kwa hapa nilipo mimi hamna duka ambalo wanauza jumla jumla nguo, wauzaji wanafuata mwz, dar
Je, hilo wazo limekaaje wakuu?
Msaada wenu wana jf
Naomba kuwasilisha.
Me sina ela lakini Nina deal yakupeleka dagaa Msumbiji...yani haya maisha hayana nithamu kbsaYeah inawezekan ni pm mkuu
Sawa nashukur mkuu kwa wazo lakoKwa biashara ya nguo subilia kwanza joto lipungue mkuu. Kwani kwa ongezeko hili la joto usishangae watu tukaamua kutembea uchi. Hivyo hutapata mteja wa kumuuzia.
Sehem ya msgSamahani pm ndo wap ndugu yangu
Msumbiji kumewaka sio 😁Me sina ela lakini Nina deal yakupeleka dagaa Msumbiji...yani haya maisha hayana nithamu kbsa