Wazo la biashara la milion moja na laki nane

You are very right. Biashara huwa huanzi na kufanikiwa tu paap unless iwe ni biashara ambayo unairithi. Kwa maneno mengine biashara ambayo kila kitu kiko in place, wateja wapo na hela zipo.
 
You are very right. Biashara huwa huanzi na kufanikiwa tu paap unless iwe ni biashara ambayo unairithi. Kwa maneno mengine biashara ambayo kila kitu kiko in place, wateja wapo na hela zipo.
Most successful business kwa uwelewa wangu ni zile xinazowafanya wafanyabiashara wengine kuwa wateja. Ukiuza jinzi kama humuuzi anayeenda kuuza hakikisha umekaa sehem ambayo watakuona watu wapya kila siku.
Nimefanya biashara ya mitumba ilala.. inalipa sana lakin inategemea sana mapointa. Kipindi Cha mvua biashara ile inayumba sana. Watu sokoni hawaji. Kwa jamaa anaweza akafikria bidhaa ndogondogo lakin sayansi nzuri ya kuitekelza ni aidha kukutana na watu wapya kila siku au kuwauzia wafanyabiashara.
 
Yeah kwa maneno mengine model ya B2B ndio ambayo inakuhakikishia successful rate kuliko biashara ya B2C. Anaweza kulifikiria hilo na pia naona hii model ya B2B competition inakuwa sio kubwa sana compared na kuwauzia wateja moja kwa moja.
 
Hili litamfelisha dogo, betting at your own risk.

Kama upo serious uza vitu muhimu kabisa vya mahitaji ya nyumbani weka 1.5 hiyo laki 3 iwe ni matumizi yako.

Kama huna nidhamu ya pesa usifanye hii biashara please.
 
Huo mtaji wa 1.8mil ni pesa nyingi sana kwako na huwezi mudu kuendesha biashara kwa mtaji huo kwasababu wewe huna akili za kibiashara nakushauri

Omba ushauri wa biashara kuanzia mtaji wa elfu 50 hadi laki 2.

Pesa zingine zitunze kwanza
Kumbuka biashara huanza hatua kwa hatua na asie sikia la mkuu huvunjika guu
 
Hapa KWA mademu umekazia balaaa.......
 
Samahani mkuu...
Leo ulimuachia mtoto sim, ama account yako ilidukuliwa..??😳
Kuna report moja ilisema wanafunzi siku hizi wanabetia pesa ya mkopo.Sasa huyu nae Bumu anataka kulifanyia biashara.Biashara ikikataa je?
 
Habari zenu mm kijan mwenyew miak 24 nimemaliz chuo nimekusanya pesa yangu ya boom nimepata 1.8m naomba wazo biashara ambalo nitakuw nauwez kuigiza al least ellf 30 kwa siku nip dar
Nicheki pm Tu share michongo
 
Usifungue biashara kama ndio mara yako ya kwanza, tafuta sehemu ukae usimamie biashara ya mtu ili kupata uzoefu na ujuzi vingine utapoteza hela zako. Biashara sio kufanya bali nichakato wa muda mrefu kujua biashara ipi na wapi mahali sahihi, pia uvumilivu na subira ni muhimu ila kama ndio unaanza hapa patakushinda hasa kwenye uvumilivu ndio maana na kuambia tafuta kwanza sehemu kwenye biashara ya mtu usimamie upate uzoefu na ujuzi
 
Njoo tunywe beer na hiyo hela nikushauri
 
Dogo kama miaka mitatu umekusanya 1.8m
Leo kwa siku Uapte 3
Elf30,.??
Utapoteza hela na Utaishia Kuliwa TiGo Hapo Dar
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]nakazia aanze na hela kidogo tu isiyozidi laki 3 kwa ajili ya kujifunza biashara yaani kwa mfano anaenda nayo kariakoo ananunua vitu vidogovidogo kama pafyumu,saa,Tshert na pensi/suruali za mtumba kisha anaenda kuwauzia wanachuo wenzake akiwa hostel hii itampa muda wa kujifunza biashara na jinsi ya kuzimudu stress zake.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…