Wazo la Biashara linahitaji muwekezaji

Bac3

Senior Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
178
Reaction score
119
Habari,kuna wazo LA Biashara kuhusu mambo ya manunuzi ya mtandaoni linahitaji muwekezaji ili likamilike.


Ndiyo kuna mawazo kama haya hapa nchini ila hili limejitofautisha kipekee kabisa.vinpengele vya ndani ni vya kipekee ili kuvutia wateja wengi na kwa mda mfupi.

Aina ya uwekezaji unaohitajika ni kiasi cha hela ktakachosaidia kutengeneza huo mfumo,kulifanyia masoko na gharama za uendeshaji.

KUHUSU WAZO!

hili wazo limebuniwa katika kuleta wateja sio Tanzania tu Bali nchi nyingi za Africa japo kwa kuanzia tutaanza na Tanzania .Nimelibuni kwa kulifanya liwe LA kipekee zaidi kulinganisha na yaliyopo. Pia Nina njia zaidi ya 40 za kuwezesha hii huduma kuwa bora zaidi hapa nchini.kwa hiyo usiwe na wasiwasi ndugu mwekezaji.

KIASI KINACHOHITAJIKA

ni milioni 50 ambazo zimegawanyika katika kutengeneza mfumo,usajili,matangazo,uendeshaji n.k

MGAO WA HISA

hapa tutaongea Nani achukue ngapi na kwa mini n.k

MUDA WA KUANZA HIYO BIASHARA NA MAREJESHO YA UWEKEZAJI

hapa miezi mitano mpaka sita baadae tunaanza kuingiza faida tu

MKADIRIO YA MAUZO KWA MWEZI VS MDA

mauzo yanategemewa kuwa milioni 10 mpaka hata 100 kwa mwezi. Ila hii itatokana na mda tutakao kuwa tumefanya kazi, uwekezaji wenyewe

Kama una hela zipo tu,naomba uwekeze kwenye hili wazo maana huu uwekezaji utakuwa wa kudumu na Biashara inategemewa kuishi vizazi hadi vizazi pia sasa hivi ni kpindi ambacho matumizi ya internet yanaongezeka kwa kasi na Biashara nyingi zinahamia katika kutumia mitandao ili kuwezesha kupata mauzo ya haraka zaidi.kwa hiyo ukiwekeza sasa hivi milioni 50 inaweza kukuta baada ya mda Fulani unapata mamilioni mengi katika kila mgao baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji.

Kama uko tayari ni PM tuongee kiurefu zaidi.
 
E-commerce site ya kukutanisha muuzaji na mnunuzi ni wazo zuri kama kupatana, kikuu, jumia, zoomtanzania n.k? Good idea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…