Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara.
Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu katika sekta ya mawasiliano hasa aliyewahi kifanya kazi kwenye makampuni ya simu au katika kampuni inayohusu data server, ip adresses, adsl na comcept zinazohusiana.
Niko radhi kumweleza wazo ila lazima
1. Ameet vigezo hivyo
2. Mazungumzo ni ana kwa ana
3. Siuzi wazo isipokuwa lazima kuwe na makubaliano ya pamoja ya kufanya kazi
Mwenye vigezo hvyo njoo DM nitakupatia email au namba ya mawasiliano na tuta arrange sehemu ya kumeet tuanze mkutano wa kwanza