Side buggati
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 232
- 182
Wana jf natumain wote ni wazima mimi nina langu leo nataka ushaur wa kufikilika nina mill5 nataka nianzishe biashara na biashara ya kwanza nmeifikilia n kununua bajaji na kuwa dereva mwenye lakin mill5 haitosh bajaj inaenda kwnye Mill8 na nusu ukikatia vibali lesen na bima itaenda mpka kwenye 9 wap ntapata dhamana ya mkopo au nipewe bajaji kw mill5 alafu hyo 4 ngarejesha taratibu mpaka deni lao liishe