Side buggati
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 232
- 182
Mfano biashara gani kiongozi???daah milioni tano, baba hyo hela kama hujakopa usiende kukopa fikiria biashara ikupe hela biashara za rejareja zipo nyingi sana. pigisha kicha hiko
Tofautisha huduma na bidhaa, usafiri Ni huduma ambayo binadamu asilimia 75 lazima watu watumie, so pocbility ya kurudisha Ni kubwa.. biashara hasa ya uchuuzi.. kwa milioni Tano lazima utaangukia pua Labda Kama una uzoefu wa hiyo biashara. .daah milioni tano, baba hyo hela kama hujakopa usiende kukopa fikiria biashara ikupe hela biashara za rejareja zipo nyingi sana. pigisha kicha hiko
Nahisi alimaanisha 2.5mJuma ebu toa ufafanuz vizur umesema nitatoa million 25 alafu watatoa asilimia 20 ya bajaj yko ukasema lak7 na 8 alafu ukasema katika hyo million 5 napata bajaji2 sijakuelewa
Juma wewe ni dalali asilimia miaTofautisha huduma na bidhaa, usafiri Ni huduma ambayo binadamu asilimia 75 lazima watu watumie, so pocbility ya kurudisha Ni kubwa.. biashara hasa ya uchuuzi.. kwa milioni Tano lazima utaangukia pua Labda Kama una uzoefu wa hiyo biashara. .
Shida sio kuchukua mkopo, shida huo mkopo unaenda kufanyia Nini...
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
[emoji2] hapana kakaJuma wewe ni dalali asilimia mia
Unarejesha sh ngapi kwa mwezi ndani ya hiyo miezi 18?Maendeleo Bank
Crdb bank..
Wanatoa mikopo ya bajaji.. mfano Kama unahitaji bajaji unatoa 25milion ambayo Ni asilimia ishirini ya Bajaj ya 7na laki 8 ya bajaj... Utarejesha ndani ya miezi kumi na name....
Zingatia... Bajaji Bora uendeshe mwenyewe au Toa mkataba Kama una vijana kwa 5 milioni utachukua bajaji mbili.... Mimi pia naomba niwe sehemu ya hiyo bajaji... Ntarejesha milioni mbili na nusu ndani ya miezi minne..
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Million 25 au naona vibaya? 25 million ni asilimia ishirini, Je mia itakuwa shilingi ngapi, si bei ya coaster.Maendeleo Bank
Crdb bank..
Wanatoa mikopo ya bajaji.. mfano Kama unahitaji bajaji unatoa 25milion ambayo Ni asilimia ishirini ya Bajaj ya 7na laki 8 ya bajaj... Utarejesha ndani ya miezi kumi na name....
Zingatia... Bajaji Bora uendeshe mwenyewe au Toa mkataba Kama una vijana kwa 5 milioni utachukua bajaji mbili.... Mimi pia naomba niwe sehemu ya hiyo bajaji... Ntarejesha milioni mbili na nusu ndani ya miezi minne..
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Million 25 au naona vibaya? 25 million ni asilimia ishirini, Je mia itakuwa shilingi ngapi, si bei ya coaster.