Wazo la biashara

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Nipo kimara. Nina mil.1 naomba wazo la biashara. Nisije nikaila yote sikukuu hii
 
Weka fixed account ya miezi tatu ktk crdb au dcb. Au katafute bidhaa nafaka eg mchele then mwezi wa tatu na kuendelea utauza bei nzuri,au kopesha biashara ya mtu kwa riba ya alfu 30 kwa kila laki moja kwa mwezi na ufanye miezi mitatu. Ni pm
 
huko benk atapata faida gani au inakaa tu?
 
Kwa hiyo sikukuu ndo isababishe ule mtaji wa maisha yako mkuu?
 
Weka fixed account ya miezi tatu ktk crdb au dcb. Au katafute bidhaa nafaka eg mchele then mwezi wa tatu na kuendelea utauza bei nzuri,au kopesha biashara ya mtu kwa riba ya alfu 30 kwa kila laki moja kwa mwezi na ufanye miezi mitatu. Ni pm
Hizo nafaka unazitunzia wapi. Assuming mtu amepanga chumba na sebule au chumba kimoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…