Wazo la biashashara

Wazo la biashashara

babrabae

Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
55
Reaction score
55
Nina wazo la biashara ambalo ni zuri na kwa mtaji wa m5 unawezo kuingiza laki 8 kwa wiki mbili au m1 kwa mwezi! Utapiga hesabu

Nimekwama kwa sababu Ya mtaji

Hivyo anae taka kufanya aje pm nimfundishe niwe mwajiliwa wake

Sio utani

Kama una mtaji njoo pm
 
Kila mtu ana wazo la Biashara kama wewe ila ni kwamba mitaji hakuna.

Mimi nina wazo la Biashara ambalo unaweza kuingiza Milioni 1 kwa wiki kama utaweza njoo Pm pia nikupe mbinu mtaji ni laki 5.
 
Sawa mkuuu
 
[emoji23] [emoji23] yani we jamaa nikionaga comment zako karibu zote lazima uingie tu
 
Kila mtu ana wazo la Biashara kama wewe ila ni kwamba mitaji hakuna.

Mimi nina wazo la Biashara ambalo unaweza kuingiza Milioni 1 kwa wiki kama utaweza njoo Pm pia nikupe mbinu mtaji ni laki 5.
mmh nipo ilo wazo mkuu
 
Nina wazo la biashara ambalo ni zuri na kwa mtaji wa m5 unawezo kuingiza laki 8 kwa wiki mbili au m1 kwa mwezi! Utapiga hesabu

Nimekwama kwa sababu Ya mtaji

Hivyo anae taka kufanya aje pm nimfundishe niwe mwajiliwa wake

Sio utani

Kama una mtaji njoo pm
Weka japo hints za biashara yenyewe halafu details ndo atakayekuwa interested afate pm. Acha uchoyo
 
Kila mtu ana wazo la Biashara kama wewe ila ni kwamba mitaji hakuna.

Mimi nina wazo la Biashara ambalo unaweza kuingiza Milioni 1 kwa wiki kama utaweza njoo Pm pia nikupe mbinu mtaji ni laki 5.
Hebu tupe hilo wazo japo siamini kama kwa huo mtaji unaweza ukaingiza 1M kwa wiki
 
Back
Top Bottom