[emoji23] [emoji23] yani we jamaa nikionaga comment zako karibu zote lazima uingie tuKila mtu ana wazo la Biashara kama wewe ila ni kwamba mitaji hakuna.
Mimi nina wazo la Biashara ambalo unaweza kuingiza Milioni 1 kwa wiki kama utaweza njoo Pm pia nikupe mbinu mtaji ni laki 5.
mmh nipo ilo wazo mkuuKila mtu ana wazo la Biashara kama wewe ila ni kwamba mitaji hakuna.
Mimi nina wazo la Biashara ambalo unaweza kuingiza Milioni 1 kwa wiki kama utaweza njoo Pm pia nikupe mbinu mtaji ni laki 5.
Weka japo hints za biashara yenyewe halafu details ndo atakayekuwa interested afate pm. Acha uchoyoNina wazo la biashara ambalo ni zuri na kwa mtaji wa m5 unawezo kuingiza laki 8 kwa wiki mbili au m1 kwa mwezi! Utapiga hesabu
Nimekwama kwa sababu Ya mtaji
Hivyo anae taka kufanya aje pm nimfundishe niwe mwajiliwa wake
Sio utani
Kama una mtaji njoo pm
Hebu tupe hilo wazo japo siamini kama kwa huo mtaji unaweza ukaingiza 1M kwa wikiKila mtu ana wazo la Biashara kama wewe ila ni kwamba mitaji hakuna.
Mimi nina wazo la Biashara ambalo unaweza kuingiza Milioni 1 kwa wiki kama utaweza njoo Pm pia nikupe mbinu mtaji ni laki 5.