MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Kwa heshima na taadhima, ndugu zangu Makolo,
Nakuja hapa kuwashauri mlifanyie kazi wazo la hekima la Mr. Manguruwe
Huyu shabiki wenu, ametoa offer ya kuweka mzigo pale Msimbazi ili timu iweze kuwa na ukwasi, sharti lake yeye ni dogo tu, kuifanya timu kuwa public listed company
Pendekezo lake ni kwamba timu iitwe SIMBA MANGURUWE PLC
Mimi naafiki S.Manguruwe PLC Sport Club itafanya vizuri zaidi na kuleta ushindani kwa Young Africans Sports Club
Nitaleta video ya Mr. Manguruwe kwa uraisi wa rejea