Wazo la kijinga nililolipata leo.

Mbona barter trade bado inaendelea Dar, hasa kwenye electronics, utakuta mtu anataka mbadilishane laptop na simu ya iphone
 
Waliotuibia historia yetu ni kina nani??wakenya au??
wakenya tumetofautiana nini?? si mpaka tu ndio umetutenganisha. Ni wale walioigawanya africa kwenye scramble ya partition.
 
Mbona barter trade bado inaendelea Dar, hasa kwenye electronics, utakuta mtu anataka mbafilishane laptop ma simu ya iphone
iendelee sasa kwa vitu vingine, itakuwa poa sana...
 
Na mpango wa kutafuta Kemikali ya kubadili Rangi za ngozi, iwe inabadili rangi nyeusi kuwa nyeuoe na nyeupe kuwa nyeusi. Imwagwe Dunia Nzima, kisha nione je waliobadilishwa Rangi na kuwa Weusi watakuwa na tabia zile zile au?
 
mawazo ya vijana...cha kwanza gari, cha pili nyumba, cha tatu biashara...nne kustarehe. Sadaka jero ...so sad!!!
Kwa bahati mimi sio kijana hivyo cha kwanza niliwaza kutoa fungu la kumi, kisha hayo mengine yote uliyoyataja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…