Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Hivi TFF, chama cha siasa CCM, Wizara ya Habari, Michezo na Sanaa, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Utalii + Wizara ya Sayansi na Teknolojia. Salamu zifike kwenu kwa wingi sana.
Sasa wazo langu kwa CCM kwenda wizara za serikali tajwa hapo juu japo mlengwa mkuu haswa akiwa TFF na Wizara ya Habari, Michezo na Sanaa. Hivi hamuwezi kutafuta pesa kama bilioni mia nane (800) hivi, mkaboresha viwanja vya michezo nchi nzima hususani vinavyomilikiwa na chama dola CCM kwa makubaliano mazuri, yaani hapa ndio uzalendo utamalaki sasa ili michezo ikue hapa nchini.
Viwanja viboreshwe kwa kuzingatia sayansi na teknolojia tuliyonayo.
Halafu nyinyi TFF muombe sasa tenda ya kuendesha michuano ya dunia huko maana viwanja tulivyonavyo nchi nzima mkiviboresha vinatosha sana kuandaa kombe la dunia na kukuza soka letu na michezo mbalimbali mfano riadha, mpira wa kikapu nk.
Nyinyi Wizara ya Utalii mtoe mchango pesa kwa TFF na BMT ili viwanja viboreshwe alafu mtapata hela tukianza kuwa wenyeji wa michuano ya michezo hapa nchi kupitia utalii nk.
Mbona mkiamua mnaweza.