Maisha yamekuwa magumu sana kipindi hiki. Nilikuwa nawaza kwa mfano nikisajili lain 20 za Vodacom kila laini nikakopa M-Pawa buku tano tano, 5000x20=100k (ntasubiria laini zimalize miezi mitatu ndo nikope)
Kuzihudumia laini 20 zote mpaka utimize vigezo na mashariti vya kupata mkopo, nadhani hapo hela utakayoiwekeza hapo, kuirudisha ni ngumu.
Labda kama unafanya kwa kujifurahisha! (una hela za kuchezea)