Wazo la kuanzisha kampuni

Wazo la kuanzisha kampuni

bunyebunye

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
530
Reaction score
676
Heshima kwenu wakuu!
Nina idea ya kufungua kampuni ambayo itakua ikifanya kazi Tanzania kote ambapo kilimo kinafanyika.
Tatizo linalonikabili ni kukosa pesa, hivyo nakuja mbele yenu kuleta wazo hili ili kama kuna mtu atakayekua yupo tayari tuungane kwa makubaliano ya asilimia katika umiliki wa kampuni hiyo.
Nashindwa kuliweka wazi wazo lenyewe kutokana na kutokua na haki milki ( copyright) ya wazo lenyewe, kwa aliye tayari anaweza kiuni PM au kuwasiliana nami kwa simu 0679308885.
Napatikana Tegeta jijini Dar.
Asanteni na karibuni tulijenge taifa.
Nawasilisha.
 
Loh, hivi kuna wazo ambalo bado watu hawajalifikiria mpaka sasa, yani liko so special saaana, acha umbulula wewe, weka wazo watu wakusaidie. Ebo
 
Loh, hivi kuna wazo ambalo bado watu hawajalifikiria mpaka sasa, yani liko so special saaana, acha umbulula wewe, weka wazo watu wakusaidie. Ebo
Sasa umbulula wangu uko wapi? kwa nini usishauri pasipo kutukana? Jaribu kuwa msitarabu mkuu
 
Loh, hivi kuna wazo ambalo bado watu hawajalifikiria mpaka sasa, yani liko so special saaana, acha umbulula wewe, weka wazo watu wakusaidie. Ebo
Inamaana ungemshauri bila kumtusi asingekuelewa???
 
Back
Top Bottom