bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 676
Sasa umbulula wangu uko wapi? kwa nini usishauri pasipo kutukana? Jaribu kuwa msitarabu mkuuLoh, hivi kuna wazo ambalo bado watu hawajalifikiria mpaka sasa, yani liko so special saaana, acha umbulula wewe, weka wazo watu wakusaidie. Ebo
Inamaana ungemshauri bila kumtusi asingekuelewa???Loh, hivi kuna wazo ambalo bado watu hawajalifikiria mpaka sasa, yani liko so special saaana, acha umbulula wewe, weka wazo watu wakusaidie. Ebo
Yaani mkuu kuna watu hawana ustarabu hata kidogoInamaana ungemshauri bila kumtusi asingekuelewa???