Wazo la kuchukuwa mkopo wa 250000

kirisha

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
573
Reaction score
663
Habari wadau wa JF.

Mimi ni kijana najishuulisha na harakati mbali mbali, kwanza mimi ni mwajiriwa wa mtu binafsi kuna jambo moja nawaomba mawazo yenu mnisaidie kidogo Kama amtajali lakini jambo lenyewe ni hili katika kujitaidi kusave na kukopa na kurudisha kwa wakati m pawa kwa Sasa wananikopesha kiasi cha laki mbili na nusu

Sasa nilikuwa naomba mawazo yenu ya biashara gani naweza kufanya kwa kutumia hiyo laki mbili niweze kurudisha pesa ya mpawa kwa wakati na mimi nibaki na faida yangu . Yani naomba wazo ambalo nitaweza kufanya kazi na kuingiza pesa na faida kwa kutumia hiyo pesa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…