johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba...
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba...
Kwa hiyo Mbowe asiwepo kabisa kwenye madai ya katiba mpya kwa sababu yalianzishwa na Mvungi?Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba...
Sasa,hivi kweli unataka uzime data na upitapo mitaani usikie madai ya katiba kwa sauti kuu...katibaaa...katiiiibaaa...katibaaaa tunatakaaaa!? Ingekuwa mambo yanaenda hivyo hata kuhusu mfumuko wa bei ingekuwa hivyo.Wenye kuhitaji Katiba Mpya ni wachache sana sema tu wana kelele nyingi sana kwny mitandao
Ukizima data halafu ukapita pita mitaani na kwny Vijiwe huwezi kusikia hizo kelele za Katiba mpya...
Kwani mbowe yeye ana tatizo gani akilisimamia? Acha wivu we Zitto kabweRais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba...
Sasa,hivi kweli unataka uzime data na upitapo mitaani usikie madai ya katiba kwa sauti kuu...katibaaa...katiiiibaaa...katibaaaa tunatakaaaa!? Ingekuwa mambo yanaenda hivyo hata kuhusu mfumuko wa bei ingekuwa hivyo.Hata kama ni "wachache" kama unavyodai,kwa nini wasisikilizwe?
Kwa hiyo tumsubiri Dr. Mvungi arudi kama "Yesu" na kuendeleza hitaji la Katiba Mpya?Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba...
Huyo mtu sahihi wa kuuza agenda kwa wananchi anapatikanaje?Maana walivyoanza tu wakakamatwa na "kupewa" kesi ya ugaidi wahangaike nayo.Huenda hujaelewa
Straregy ya wadai katiba mpya ni mbovu na haiwezi kuishinikiza Serikali kwa kuwa wameshindwa kuuza mitaani Agenda ya Katiba mpya..
Huyo mtu sahihi wa kuuza agenda kwa wananchi anapatikanaje?Maana walivyoanza tu wakakamatwa na "kupewa" kesi ya ugaidi wahangaike nayo.Vilevile shughuli za mikutano ya vyama(Usipokuwa CCM)vimekatazwa na wahusika kusumbuliwa kila watakapo kufikisha agenda kwa wananchi.Ulitaka hizo kelele au majadiliano uyapataje kwa wananchi ambao bado wanahitaji ufafanuzi na hamasa?Tofauti kabisa na wakati wa agenda ya ufisadi ambapo vyama vilipata fursa ya kuilezea katika mikoa yote bara na pwani.
Hivi niulize.. Kwann serikali ya chama tawala ikisikia neno katiba mpya yaan wanapagawa mazima hawatak hata kusikia?Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba...!