Wazo la kufungua biashara ya kushusha mafaili GB 1 kwa jero hadi buku kwa kutumia unlimited internet mnaliona vipi?

Yeye alikuwa anasambazia watu
Kuwa specific sasa, alikuwa anasambazia nini watu ?

lasivyo utaonekana una tabia zile za chuki na wivu kwenye maendeleo, kukatisha tamaa wenzako waendelee kuwa masikini.
 
Kuna Cafe nyingi mjini za wifi mkuu. Vitu kama hivi vinataka mzunguko wa kutosha wa wenye uelewa wa hizi mambo, otherwise mtaani ngumu, unaweza kuta mtaa mzima wenye uhitaji wa kudownload ni wa 5 tu.
 
Kuna Cafe nyingi mjini za wifi mkuu. Vitu kama hivi vinataka mzunguko wa kutosha wa wenye uelewa wa hizi mambo, otherwise mtaani ngumu, unaweza kuta mtaa mzima wenye uhitaji wa kudownload ni wa 5 tu.


awareness hata ya hizo cafes bado ni ndogo sana, nadhani huwa zipo town huko dar na watumiaji wengi ni hawa watundu watundu na expats kutoka nje, watu wengi wanaoumizwa na mabando bado bado hawajui, zingekuwa zimebamba tungeona hata mafundi simu / laptop wanajazana huko kushusha mafaili, watu wenye library wangejazana huko kushusha muvi, watu wenye ps nao wangejazana huko kushusha games nzito na si kwenda kuingiziwa mitaani.

Ukiingia kitaa huku GB zimekuwa kama dhahabu, zinatafutwa acha tu, ila pa kuzipata sasa ndio kitendawili.

Kwa maoni yangu naona awareness bado ndogo kama ilivyo kwa watu kutojua kuna adsl internet ya elf 25, ni wachache sana wana hii awareness na wanaonufaika.a

Ila umenitoa tongo tongo, nipe hata moja niwacheki insta huduma zao naweza kukuta masharti ukitumia gb kadhaa unabaniwa speed πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo cafe? Source yao ni fiber mkuu so hawajali unatumia gb ngapi si wanalipa tu fixed

Mfano hawa Kahawa cafe
 
Wazo Zuri sana Nafikiri, Ungeongeza naishu ya Kuuza movie iwe kama main activity halafu Hayo mengine yawe ziada. Maana tunavyoenda kama kunaweza kuwa na unafuu wa bando kama TTCL wakiendelea na hii speed ya usambazaji wa Internet.
 
Mwenzio mtaani kwangu nawafanyia buku ni unlimited navuna buku buku kama zote 😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…