Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila lakheriNapenda kufungua center itakayokuwa inatoa mafunzo ya computer kwa wanafunzi wanaohitimu elimu ya kidato Cha nne pamoja na wadau wengine
Naomba mwongozo wenu juu ya wazo hili au anaejua changamoto Zake anijuze tafadhari
Nakaribisha mawazo
Mzigo ukifika nitakujuza au nipe namba yako ya simu inboxPouw boss
upo sawa ila ni moja Kati ya watu 1000computer watu wanajua bila kufundishwa
Ninamashaka km unauelwa na unachotaka kufanya, sabab kuu ni moja unafundishaje computer sasa? Computer ni pana sana ww unataka kufundisha programs zipi? Halaf cmptr ckuiz hasa kwa mijini ziko majumban watu wanaanza kuzitumia tangu wakiwa wadogo sasa ww unataka kuwafundisha nn? Kuwasha na kuzima? Yan unachotaka kufanya ni sawa na mtu kufungua chuo cha kufundisha watu kutumia smartphone.Napenda kufungua center itakayokuwa inatoa mafunzo ya computer kwa wanafunzi wanaohitimu elimu ya kidato Cha nne pamoja na wadau wengine
Naomba mwongozo wenu juu ya wazo hili au anaejua changamoto Zake anijuze tafadhari
Nakaribisha mawazo
Thanks bro , n kweli but maranyingi huduma huanzishwa na soko litanipa mwelekeo..........basic progam nlizotaget n Graphics & design na maintanance etcNinamashaka km unauelwa na unachotaka kufanya, sabab kuu ni moja unafundishaje computer sasa? Computer ni pana sana ww unataka kufundisha programs zipi? Halaf cmptr ckuiz hasa kwa mijini ziko majumban watu wanaanza kuzitumia tangu wakiwa wadogo sasa ww unataka kuwafundisha nn? Kuwasha na kuzima? Yan unachotaka kufanya ni sawa na mtu kufungua chuo cha kufundisha watu kutumia smartphone.
Thanks bro .........Jaribu kuongeza ubunifu tu mkuu,angalia program za muhimu na ambazo ni ngumu mtu kujifunza mwenyewe bila kuwa na basics , angalia na mazingira pia kwakuwa sasahivi kutokana na utandawazi wengi wanaujuzi huo.
Ila usiache kufanya unachokiamini kwakuwa naamini utakifanya vizuri zaidi ya in
🤣 Umenifanya nicheke, Wewe unajua kompyuta ni kuwasha tu na kuplay movie? Watu Kompyura Wanasomea hadi PhD. Ingia Harvard University uangalie kozi za Computer ndio utajua nini maana ya kompyuta.computer watu wanajua bila kufundishwa
Kama unayo solid plan ya kupata wateja bas sawa lakin competitor mkubwa kwako ninaye muona ni INTERNET sabab kuna online courses nyingi sana ambazo mtu anaweza kusomea hizo programs unazosema. Binafsi nikisiaga mtu anaenda 'kusomea' compter hua na mashaka kua kama anaelewa fika anachotaka kufanya. To be honest hz biashara zlikua HOT miaka 10 iliopta kwa sasa demand sidhani kama ipo juu kihivyo (Labda location uliopo kama iko favorable) kozi zlizobaki kwny computer ambazo kweli ambazo mtu unaweza sema atasomea labda ni kwa upande wa hardware I mean computer maintanance.Thanks bro , n kweli but maranyingi huduma huanzishwa na soko litanipa mwelekeo..........basic progam nlizotaget n Graphics & design na maintanance etc
computer watu wanajua bila kufundishwa
Atawafundisha forexJaribu kuongeza ubunifu tu mkuu,angalia program za muhimu na ambazo ni ngumu mtu kujifunza mwenyewe bila kuwa na basics , angalia na mazingira pia kwakuwa sasahivi kutokana na utandawazi wengi wanaujuzi huo.
Ila usiache kufanya unachokiamini kwakuwa naamini utakifanya vizuri zaidi ya inavyotarajiwa.
Usikatishe watu matumaini aisee.. hebu pita kushoto aiseeecomputer watu wanajua bila kufundishwa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ninamashaka km unauelwa na unachotaka kufanya, sabab kuu ni moja unafundishaje computer sasa? Computer ni pana sana ww unataka kufundisha programs zipi? Halaf cmptr ckuiz hasa kwa mijini ziko majumban watu wanaanza kuzitumia tangu wakiwa wadogo sasa ww unataka kuwafundisha nn? Kuwasha na kuzima? Yan unachotaka kufanya ni sawa na mtu kufungua chuo cha kufundisha watu kutumia smartphone.