MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 115
wakuu nisaidien sehemu zifuatazo, garama ya madumu y kupulizia shingapi? mazur ni aina gan na kutoka wapi? soko lake likovip? dawa gan ni nzur? madumu yanauzwa wapi?kwa bei gan? na wanapulizia kwa shingap? asanten