Wazo la kufungua kampuni ya fumigatio,je inalipa?

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
115
wakuu nisaidien sehemu zifuatazo, garama ya madumu y kupulizia shingapi? mazur ni aina gan na kutoka wapi? soko lake likovip? dawa gan ni nzur? madumu yanauzwa wapi?kwa bei gan? na wanapulizia kwa shingap? asanten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…