Wazo la kutengeneza kikundi cha vijana wajasiliamali

AISEE MM NIMEMALIZA DEGREE YA UHASIBU TOKA MWAKA JUZI NA SIJAPATA AJIRA NA WALA DALILI HAKUNA. Naomba nijumuishe kwenye hilo group huenda tukafanya kitu.
 
AISEE MM NIMEMALIZA DEGREE YA UHASIBU TOKA MWAKA JUZI NA SIJAPATA AJIRA NA WALA DALILI HAKUNA. Naomba nijumuishe kwenye hilo group huenda tukafanya kitu.
pole sana ndugu,

kama. upo willing na committed bas kuna namba ya whatsapp huko juu[emoji115][emoji115] tuma ujumbe wenye jina lako tuungane katika group tuone lini tutakutana na wapi na naomba muje na mawazo mengi tupitishe mojawapo tufanye kazi kutokana na mtaji tutakaokua nao
 
Sasa ishu za whatsup ndo balaa kwangu. sina akaunti wala simu yenye uwezo huo. SIMU YANGU INAINGIA JF NA FB PEKEE, Hata twitter na email login NI SHIDA. Vp TUTASAIDIANAJE HAPO kiongozi??
 
Sasa ishu za whatsup ndo balaa kwangu. sina akaunti wala simu yenye uwezo huo. SIMU YANGU INAINGIA JF NA FB PEKEE, Hata twitter na email login NI SHIDA. Vp TUTASAIDIANAJE HAPO kiongozi??
namba nimeweka huko juu, tayari tumeshaongea wote na jumapili tuna kikao, kwa maelezo piga simu kwa namba 0625551933
 
Wazo zuri niunge na mimi 0786714669

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji56][emoji56][emoji53][emoji53]wazo zuri ila apo mpaka muelewane vizuri mkafanya kazi kwa commitment ni kimbembe halafu wengi ni wahanga wa masuala ya uchumi kwaio muda wowote mvurugiko unaweza kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…