Wazo la kutengeneza mobile app

Wazo la kutengeneza mobile app

Life starts at 45

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
998
Reaction score
987
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya.
Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto iliyopo kwenye jamii ambayo inaweza tatuka Kwa mobile app basi tuahilikishane. Mimi ntaanzia kazi wazo litakalo onekana ni la muhimu kuliko yote. Karibuni Kwa mawazo.
 
Uzoefu wako labda kwenye app development ni upi halafu kwa nini unalenga changamoto peke yake majibu tafadhali
 
Uzoefu wako labda kwenye app development ni upi
2 years za kutokuwa seriously, 2 months za kuwa serious na ambapo niliianza kudevelop app Kwa kutumia jetpack Compose, hivi sasa imefika hatua za mwishoni nikisha I publish play store basi ntaachia source code zake.
ila kama upo interested waweza nipa email yako nikakupa permission GitHub ukaona source code.
 
Sio lazma kuwa na startup unaweza join za watu ukaongeza nguvu mambo yakawa supa
mkuu upo sahihi, lakini Kwa sasa mpaka mwezi wa 7 nahitaji kitu Cha Kuni keep busy. Ambapo nikienda kwenye start company na kuonyesha basi iwe rahisi kukubakiwa.
 
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya.
Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto iliyopo kwenye jamii ambayo inaweza tatuka Kwa mobile app basi tuahilikishane. Mimi ntaanzia kazi wazo litakalo onekana ni la muhimu kuliko yote. Karibuni Kwa mawazo.
Jaribu kufikiria biashara ya usafiri mitandaoni kama walivyo Uber na Bolt. Kuna fursa kubwa baada ya Uber kujiondoa nchini. Nchi kama Ethiopia wana hizi huduma na zote zinamilikiwa na wazawa wakitengeneza mabilioni ya fedha kila siku.Kwao hakuna cha Uber wala bolt wana apps zinaitwa RIDE, FERES na TAXIYE wamiliki wanajipigia pesa chafu. Jaribu kulifikiria hilo kwa kuanzia.
 
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya.
Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto iliyopo kwenye jamii ambayo inaweza tatuka Kwa mobile app basi tuahilikishane. Mimi ntaanzia kazi wazo litakalo onekana ni la muhimu kuliko yote. Karibuni Kwa mawazo.
Nipe mawasiliano yako Mkuu nkucheki
 
Back
Top Bottom