mangimweusi
Member
- Sep 14, 2018
- 51
- 38
habar wana jf...kwanza natanguliza shukuran.. waungwan me kijan nimepandan nimepat mtaji ingawa sio mkubwa sana lkn nzan nawez kuanza na hichi kidog nilichonacho...nilikuwa na wazo la kuuza sigar za jumla na mifuko ya jumla je micahakato yake ipo vip...!
1. kweny sigara
2.mifuko
asante
1. kweny sigara
2.mifuko
asante