Wazo la leo: kuna umuhimu gani wa kujifunika mwavuli ndani ya bwawa la kuogelea?

Wazo la leo: kuna umuhimu gani wa kujifunika mwavuli ndani ya bwawa la kuogelea?

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83

Wazo la leo: kuna umuhimu gani wa kujifunika mwavuli ndani ya bwawa la kuogelea?
 
Attachments

  • Wazo La Leo.jpg
    Wazo La Leo.jpg
    44.6 KB · Views: 86
Huyo jamaa sijui anavuka au anapoza mwili? Mbona kavaa suti ndani ya bwawa?
 
Unabahati kwavile kuna 'ban'....jibu ambalo ningekupa usingesahau kamwe! Hiyo siyo photoshop wewe wakuja nini??:confused2:
Kumbe BAN zimetudisciplin!
 
Unabahati kwavile kuna 'ban'....jibu ambalo ningekupa usingesahau kamwe! Hiyo siyo photoshop wewe wakuja nini??:confused2:

Bila sheria nadhani ingekuwa chaotic!
 
kuna umuhimu wa kujifunika kwa sababu ya jua na ili asipate sunburn....labda ni mgonjwa wa kansa ya ngozi
 
sijapata jibu bado alikuwa anamaanisha nini.:becky:labda anajikinga jua
 
Well said!

"Don't count your chickens before they're hatched." Huu ujumbe unawafaa sana ndugu zangu wa CHADEMA wanahesabu kura kwa kuangalia wingi wa watu mikutanoni wakati kuna mambo mengi yanatakiwa kuzingatiwa katika swala zima la kura..............nyie pigeni domo sie ikifika siku tunachukua tunaweka waaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom