"Don't count your chickens before they're hatched." Huu ujumbe unawafaa sana ndugu zangu wa CHADEMA wanahesabu kura kwa kuangalia wingi wa watu mikutanoni wakati kuna mambo mengi yanatakiwa kuzingatiwa katika swala zima la kura..............nyie pigeni domo sie ikifika siku tunachukua tunaweka waaaaaaaaaaaa