Wazo la leo! Mambo ya jirani zetu hao!

Wazo la leo! Mambo ya jirani zetu hao!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83

Wazo la leo!:A S-heart-2:
 
Attachments

  • Wazo la leo.jpg
    Wazo la leo.jpg
    56.3 KB · Views: 112
mmh, hapo mwingine akiamua kurudishia ndani itakuwaje? Hapa panaonekana siyo kijijini kihivyo kwamba bado wana yale ya kizamani sana ya kupokezana kilita cha ulanzi, sasa imekuwaje tena?
 
hii inatumika sijui wapi vile? kwa kina baba Koku eeeh?
mkipanga hu mduara kama una mke mmoja unakaa mbele karibu na mlango ila mwenye wake wengi anakaa nyuma na mwisho, hawa hata wakipata taarifa za msiba wanauliza tu mke yupi? ila we mwenye mmoja si utapata presha na kama uko nyuma utamwaga pombe wakati wa kutoka ndo maana wanakuweka mbela karibu na mlango
 
mmh, hapo mwingine akiamua kurudishia ndani itakuwaje? Hapa panaonekana siyo kijijini kihivyo kwamba bado wana yale ya kizamani sana ya kupokezana kilita cha ulanzi, sasa imekuwaje tena?

Umekosea, huo sio ulanzi, ni Kimpumu - mambo ya Mbeya
 
so interesting i hope na mi nngejoin!

Wazo la leo!:A S-heart-2:[/QUOTE]
 
hii inatumika sijui wapi vile? kwa kina baba Koku eeeh?
mkipanga hu mduara kama una mke mmoja unakaa mbele karibu na mlango ila mwenye wake wengi anakaa nyuma na mwisho, hawa hata wakipata taarifa za msiba wanauliza tu mke yupi? ila we mwenye mmoja si utapata presha na kama uko nyuma utamwaga pombe wakati wa kutoka ndo maana wanakuweka mbela karibu na mlango

Lady N:

Niombe radhi - Baba Enock/Koku hawezi ku-entataini huu "UCHAFU"! Watu wazima na akili zao wanapigana denda livu?
 
DUh sinywi hata kwa dawa, mimate ya watu daaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Lady N:

Niombe radhi - Baba Enock/Koku hawezi ku-entataini huu "UCHAFU"! Watu wazima na akili zao wanapigana denda livu?
Kazi kwelikweli..!

Sasa kama siyo kwa kina KOKU unafikiri ni wapi?

Hapo viingereza, majigambo na kila kitu ndio nyumbani kwake....! Utasikia, "......kure kwetu Bhukobha nime-build kajumb-a kama kare ka Bill Gate... hata jana arikuwa ananiurizi-a if nitakuwa tayari nimeka-update nimtumie ile map yake, ila nikawa bize kidogo nikasema nitamjib-u nexty time"
 
Utamaduni wa watu mzee! Ndo ujamaa wenyewe. Wacheki wanavyo-enjoy. Wala hakuna kinachowasumbua. Ni raha tu!

Ole wao mmoja awe na TB hapo. Kohozi zake zote anaziachia humo humo.
 
hapa sio kilabuni ni kweny sherehe ambapo kijana amkuja kuleta mahali na pombe ya wazee( ndio hii) baada ya hapo mahali yake inapokelewa kwa raha sana.kama huleti pomne na mirija hii mahali haipokelewi. kumbuka pombe hii si sehemu ya mahari.

pombe inaitwa rubisi na hapa ni BK
 
Back
Top Bottom