Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,497 Reaction score 16,180 Dec 26, 2016 #1 Wazazi wako wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 halafu unaulizwa your best couple unasema Beyoncé & Jay Z!! MUNGU ANAKUONA.
Wazazi wako wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 halafu unaulizwa your best couple unasema Beyoncé & Jay Z!! MUNGU ANAKUONA.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Dec 26, 2016 #2 Planett said: Wazazi wako wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 halafu unaulizwa your best couple unasema Beyoncé & Jay Z!! MUNGU ANAKUONA. Click to expand... Ahahahahahaahaa
Planett said: Wazazi wako wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 halafu unaulizwa your best couple unasema Beyoncé & Jay Z!! MUNGU ANAKUONA. Click to expand... Ahahahahahaahaa
pistmshai JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 1,313 Reaction score 3,683 Dec 26, 2016 #3 ndio maana tangu ulipoamka asubuhi hadi saiv umeshaongea na wapenzi wako wote. Lakini hujui hata wazazi wako wameamkaje..!
ndio maana tangu ulipoamka asubuhi hadi saiv umeshaongea na wapenzi wako wote. Lakini hujui hata wazazi wako wameamkaje..!