Wazo la Location/Ubia katika biashara

Wazo la Location/Ubia katika biashara

KingPower

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
1,115
Reaction score
1,807
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,

Nimechukua frame na kufungua biashara ya Juice ya miwa(machine ya umeme) pamoja na machine ya kutengeneza ice-cream (koni) Tanga mjini.

Lakini biashara haiendi zaidi ya kupata hasara kila siku,

Wakuu ambao mko mkoa wa Tanga ninaombi either kunisaidia kupata location nzuri au kuingia Ubia na mtu, mwenye location nzuri na mzunguko wa watu ni mkubwa

Karibuni.
 
koni location ni kwenye mashule ,tafuta shule ndio best location kwa biashara hii.karibu nikuuzie mashine bado imenyooka,nimekosa mtu wa kusimamia hii biashara
 
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,

Nimechukua frame na kufungua biashara ya Juice ya miwa(machine ya umeme) pamoja na machine ya kutengeneza ice-cream (koni) Tanga mjini.

Lakini biashara haiendi zaidi ya kupata hasara kila siku,

Wakuu ambao mko mkoa wa Tanga ninaombi either kunisaidia kupata location nzuri au kuingia Ubia na mtu, mwenye location nzuri na mzunguko wa watu ni mkubwa

Karibuni.

Kwa Tanga tafuta location yenye mzunguko wa watu km vile stend ya zamani, round about ya kwenda mabawa (mabanda ya papa),,,
 
Back
Top Bottom