Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Nimechukua frame na kufungua biashara ya Juice ya miwa(machine ya umeme) pamoja na machine ya kutengeneza ice-cream (koni) Tanga mjini.
Lakini biashara haiendi zaidi ya kupata hasara kila siku,
Wakuu ambao mko mkoa wa Tanga ninaombi either kunisaidia kupata location nzuri au kuingia Ubia na mtu, mwenye location nzuri na mzunguko wa watu ni mkubwa
Karibuni.