Wazo la Mwanzo ilikuwa wamasai wa Ngorongoro wapelekwe Wilaya ya Longido, kwa nini ilibadilishwa na kupelekwa Handeni?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Kwanza ijulikane wazo la kuwapunguza wamasai wa Tafara ya Ngorongoro na kuwapelekea nje ya Ngorongoro lipo kitambo tangua enzi za JK, Ila hakikuwa na nguvu na msukumo, wakati huo wazo lilio kuwepo ni wapelekwe Longido kwa wamasai wenzao.

Eneo lilikuwa lisha patikana. Ila enzi zile ilikuwa wapunguzwe kiasi kidogo wengine wabakie. Ila kwa sasa ni wote na eneo lisha pigwa mnada kutambo.

Enzi za Jiwe hii swala lilififia sana na likafa kabisa make Jiwe hakuunga mkono kabisa Wamasai kuondolewa Ngorongoro na hii ishu ikawa imekufa kabisa wakati wa Magufuri na hakuna alie jaribu tena kutoa wazo make walimjua vyema jiwe.

Mara tu baada ya jiwe kutwaliwa likaibuka sasa kwa nguvu na kasi ya kutisha kuliko hata enzi za Jk na Push yake ni Rayol tour, ambako wafadhili wake walitoa pesa nyingi sana sasa wanatafuta maeneo ya kufanyia Break even za pesa zao walizo toa kwenye Rayol tour.

Ila swala la kujiuliza ni kwa nini Wazo la kuwahamishia Longido lilikufa? pia kulikuwa na wazo la kuwapeleka Simanjiro, kumbuka Simanjiro ni kubwa kuliko hio Handeni waliko pelekwa, pia Simanjiro ni kubwa kuliko Mkoa wote wa Kilimanjaro.

Inavyo semekana wazo la Longido na Simanjiro liliondolewa dakika za mwisho kwa sababu kule nako wangekuja kuondolewa sasa hawakutaka kuwasumbua mara mbili, na ingeleta Picha mbaya sana.

Longido eneo kubwa ambalo walikuwa wapelekwe hao wamasai wa Ngorongoro lilisha uzwa ammwamu hii ya Mama kwa Waarabu the same na Simanajiro ambayo isha uzwa kwa Wafaransa ingawa kuna pia Waarabu wanaitaka Simanjiro.Hii ndio sababu ya kuto wapeleka Wamasai Longido na Simanjiro.

Ni swala la muda kabla hatuajaanza movement za kutetea wamasai wa Longido na Simanjiro na kusema ni maeneo yao ya asili huku walio uza wakitetea kwamba wanataka kufanya uhifadhi.
 
So sad. Tanganyika imeuzwa na ndugu zetu wazanzibar kwa kivuli cha muungano. Nadhan kama nyerere angefufuka leo hii angejutia maamuzi yake ya kuunganisha tanganyika na zanzibar. Sijawah kusikia wazanzibar wanahamishwa na ardhi yao kupewa watu wa taifa lingine. Tunayofanyiwa watanganyika sio haki na viongozi wetu wapo kimya ni kama tanganyika haina watu wanaoweza kuitetea. Mungu atusaidie watanganyika.
 
Kwanza ijulikane wazo la kuwapunguza wamasai wa Tafara ya Ngorongoro na kuwapelekea nje ya Ngorongoro lipo kitambo tangua enzi za JK, Ila hakikuwa na nguvu na msukumo, wakati huo wazo lilio kuwepo ni wapelekwe Longido kwa wamasai wenzao.

Eneo lilikuwa lisha patikana. Ila enzi zile ilikuwa wapunguzwe kiasi kidogo wengine wabakie. Ila kwa sasa ni wote na eneo lisha pigwa mnada kutambo.

Enzi za Jiwe hii swala lilififia sana na likafa kabisa make Jiwe hakuunga mkono kabisa Wamasai kuondolewa Ngorongoro na hii ishu ikawa imekufa kabisa wakati wa Magufuri na hakuna alie jaribu tena kutoa wazo make walimjua vyema jiwe.

Mara tu baada ya jiwe kutwaliwa likaibuka sasa kwa nguvu na kasi ya kutisha kuliko hata enzi za Jk na Push yake ni Rayol tour, ambako wafadhili wake walitoa pesa nyingi sana sasa wanatafuta maeneo ya kufanyia Break even za pesa zao walizo toa kwenye Rayol tour.

Ila swala la kujiuliza ni kwa nini Wazo la kuwahamishia Longido lilikufa? pia kulikuwa na wazo la kuwapeleka Simanjiro, kumbuka Simanjiro ni kubwa kuliko hio Handeni waliko pelekwa, pia Simanjiro ni kubwa kuliko Mkoa wote wa Kilimanjaro.

Inavyo semekana wazo la Longido na Simanjiro liliondolewa dakika za mwisho kwa sababu kule nako wangekuja kuondolewa sasa hawakutaka kuwasumbua mara mbili, na ingeleta Picha mbaya sana.

Longido eneo kubwa ambalo walikuwa wapelekwe hao wamasai wa Ngorongoro lilisha uzwa ammwamu hii ya Mama kwa Waarabu the same na Simanajiro ambayo isha uzwa kwa Wafaransa ingawa kuna pia Waarabu wanaitaka Simanjiro.Hii ndio sababu ya kuto wapeleka Wamasai Longido na Simanjiro.

Ni swala la muda kabla hatuajaanza movement za kutetea wamasai wa Longido na Simanjiro na kusema ni maeneo yao ya asili huku walio uza wakitetea kwamba wanataka kufanya uhifadhi.
Sasa kule Bush na Ukame ule wangeishije?
 
Back
Top Bottom