Jamani naomba kuuliza kama kuna anayejua uwezekano wa nyumba salama ya kupanga kwa muda mfupi (miezi 3)maeneo ya kigamboni. Yenye ukubwa wa vyumba vitatu na iwe full furnished. Isiwe mbali kutoka beach nzuri. Je nyumba yenye sifa hizo inafika wastani wa kiasi gani kwa mwezi? Je maeneo mengine tofauti na kigamboni (ila dar) nyumba kama hiyo inagharimu kiasi gani? (kwa viwango vya chini na wastani). Naomba ushauri hapa ila anayejua anaweza kunitumia e-mail kwa jsalabi@gmail.com
Natanguliza shukrani zangu.