Wazo la wiki: Malalamiko ya upinzani ni ishara ya uasi au uhaini

Wapereke malalamiko yao wapi!!!
1. Bunge ambalo spika anaelekezwa akawatimue wabunge ili Jiwe lipate kuwaponda!!!
2. Mahakama zinazopewa pesa kwa mashrti ya kesi za serikali zishinde??!! .

Kama husukumwi na mahaba utaona viongozi wa upinzani wanavyopita kwenye bonde la mauti chini ya awamu ya safari hii.
 
Bado ukweli ni kwamba wanefikishwa mahakamani. Soma kwa umakini vifungu vya sheria nilivyonukuu kwenye mada kuu. Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kutafsiri, hivyo tuache sheria ichukue mkondo wake.
watajijua wenyewe sina urafiki wala huruma na wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…