Wazo lako huru la biashara

Septemba11

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
620
Reaction score
532
Habarini wana jf!

Wana bodi ninaomba ushauri wa kitaalamu wa ujasiliamali na biashara kwenu, ipo hivi jamaa yangu wa karibu sana anamtaji wa milion 6 anaishi morogoro na dhumun la kuleta hii hoja hapa n kupata ushauri wa biashara gani afanye kwa mtaji wake na kwa mazingira ya morogoro!

Ahsanten sana!
 
Nadhani kipo kitu anachopenda kukifanya coz ni vyema ufanye biashara unayoipenda ili usiichoke kwa hiyo aangalie tu je inalipa na kama huo mtaji unatosha aingie kazini atafanikiwa tu
 
mshauri aingie kwenye kilimo moro ardhi ni nzuri. na huo mtaji ni mkubwa sana kwa kilimo cha kuanzia kila la kheli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…