Wazo langu! Ingependeza kama zoezi la Sensa lingeambatana na upimwaji wa Virusi vya Corona

Wazo langu! Ingependeza kama zoezi la Sensa lingeambatana na upimwaji wa Virusi vya Corona

palahingwe

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
16
Reaction score
10
Ningekuwa mwanasiasa au nipo kwenye kiwango cha kusikilizwa na Serikali bila kupingwa kwa asilimia kubwa, basi ningeishauri Serikali kila kipindi cha Sensa kuwe na taratibu za upimaji COVID-19 na maradhi mengine makubwa ya kuambukiza.
 
sasa korona ipimwe ili iweje? Tushasema haka ni kaugojwa kadogo na tuendelee kupiga kazi
 
Tuchonge kinyago baadaye kitutishe wenyewe kama Kenya,watu waanze kupanic na kuwapandisha presha,acha maisha ya endelee Malaria inaua zaidi ya Corona lkn maisha bado yana endelea kama kawaida.
 
Ni wazo jema ila ungefafanua ukishajua utafanyaje? Utajenga kiwanda cha kutengeneza madawa?
 
Back
Top Bottom