Ningekuwa mwanasiasa au nipo kwenye kiwango cha kusikilizwa na Serikali bila kupingwa kwa asilimia kubwa, basi ningeishauri Serikali kila kipindi cha Sensa kuwe na taratibu za upimaji COVID-19 na maradhi mengine makubwa ya kuambukiza.
Tuchonge kinyago baadaye kitutishe wenyewe kama Kenya,watu waanze kupanic na kuwapandisha presha,acha maisha ya endelee Malaria inaua zaidi ya Corona lkn maisha bado yana endelea kama kawaida.