Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 959
Lowassa kurudi ccm ni pigo kwa Jiwe, kwanza hadi sasa Magu kashapotezwa kwenye headlines zote,na ndo maana huwa nasema Magu atakuwa raisi pekee Tz kutawala kwa mhula moja tuMambo ni mengi na muda ni kiduchu. Vibweka kila mahali mchana na usiku.
Ndugu Lowasa jana kasema hana nia ya kugombea urais tena, na hivyo tumuunge mkono Rais Magufuli mpaka mwaka 2020 kisha tumchague tena kwa awamu ya pili.
Huyu Eddo akibadilisha gia angani na kuchuana na Magufuli 2020 ni nani atamzuia??
Sina shaka kwamba akithubutu kuchuana na Magufuli CCM watamfyekelea mbali ili apishe njia bulldozer lipite! Lakini who knows, huyu morani alivyo mbishi kama dagaa anaweza kugangamara tu potelea mbali akichinjwa. Hajali.
Kama alisema hataondoka CHADEMA na hatimaye kaondoka, tunawezaje kuamini kuwa hatogombea tena hata kama amesema hatogombea??
Tumwamini tu kwamba hatagombea maana kura zake zote, pamoja na yangu, amempa Magufuli. Labda miaka ijayo baada ya Magufuli kustaafu.Mambo ni mengi na muda ni kiduchu. Vibweka kila mahali mchana na usiku.
Ndugu Lowasa jana kasema hana nia ya kugombea urais tena, na hivyo tumuunge mkono Rais Magufuli mpaka mwaka 2020 kisha tumchague tena kwa awamu ya pili.
Huyu Eddo akibadilisha gia angani na kuchuana na Magufuli 2020 ni nani atamzuia??
Sina shaka kwamba akithubutu kuchuana na Magufuli CCM watamfyekelea mbali ili apishe njia bulldozer lipite! Lakini who knows, huyu morani alivyo mbishi kama dagaa anaweza kugangamara tu potelea mbali akichinjwa. Hajali.
Kama alisema hataondoka CHADEMA na hatimaye kaondoka, tunawezaje kuamini kuwa hatogombea tena hata kama amesema hatogombea??
Pumbavvu wewe! Kwani Katiba ya chadema ilikuwa inasema nini 2015?Watoto ni wengi humu jf hadi kero!.
Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya the seating one.
P.
Unadhihirisha utoto wakoPumbavvu wewe! Kwani Katiba ya chadema ilikuwa inasema nini 2015?
Chadema wanateseka sana na Lowassa!Watoto ni wengi humu jf hadi kero!.
Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya the seating one.
P.
Sio Kweli🤣🤣lazima NEC ikae na kuchagua tena.na lazima wagombea wapite kila mkoa kukusanya signatures za wanachama.....mpaka kule Ntwara kwenye Korosho....kule Songea,namtumbo na Kilimanjaro....lets wait and see 2020Watoto ni wengi humu jf hadi kero!.
Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya the seating one.
P.
Sasa hivi wataprint form moja tu ya huyu jamaa aiseweza ushindani...PASCHAL MAYALA unamkumbuka SHIBUDA J.?alipata wapi fomu ya kugombea urais dhidi ya KIKWETE?
ulichoongea ni sahihi kwa kiasi fulani lakini ukweli ni kwamba mchuano utakuwepo,ila Magu atapitishwa tena,sio kwamba taarifanitatolewa na polepole kuwa chama kimepitisha Jiwe kugombea tena.Lazima mpango ufanywe kwanza na washindani watakuwepo japo wa kuzugiaWatoto ni wengi humu jf hadi kero!.
Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya the seating one.
P.
2020 NI BENARD KAMILIUS MEMBE !!Mambo ni mengi na muda ni kiduchu. Vibweka kila mahali mchana na usiku.