Abuu Naila New Member Joined Jan 16, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Mar 11, 2019 #41 Mmmmh muda utaamua
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Mar 11, 2019 #42 Pascal Mayalla said: Watoto ni wengi humu jf hadi kero!. Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya aliyepo. Click to expand... Jee akitoa photocopy ya original? Maana kusema tuu kuwa nataka! Ukorofi huo unatosha kuwavuruga. Umejionea kimbembe cha Membe majuzi, watu walivurugana wakati hakukuwa na tamko rasmi lolote toka Kwa Membe Sent using Jamii Forums mobile app
Pascal Mayalla said: Watoto ni wengi humu jf hadi kero!. Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya aliyepo. Click to expand... Jee akitoa photocopy ya original? Maana kusema tuu kuwa nataka! Ukorofi huo unatosha kuwavuruga. Umejionea kimbembe cha Membe majuzi, watu walivurugana wakati hakukuwa na tamko rasmi lolote toka Kwa Membe Sent using Jamii Forums mobile app
Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,920 Reaction score 8,675 Mar 13, 2019 #43 Jozi 1 said: Ha ha ha hiyo sio picha ni jinamizi la kutisha sana. Click to expand... tujipe muda, mambo ni mengi
Jozi 1 said: Ha ha ha hiyo sio picha ni jinamizi la kutisha sana. Click to expand... tujipe muda, mambo ni mengi