Wazo langu...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
vipi wa kuu,nawazo na ndoto ya siku nyingi,nataka kufungua vedio studio,iwe in deal na production za video za movie sana sana na documetary, je ni vifaa gani muhimi naitajika kuwa navyo na kama camera natakiwa ya ukubwa gani na how much ita cost na kama ngapi? LIGHT ntazipata kwa bei gani na aina gani zaidi zinaitajika...binafsi na degree ya mass communocation ila na uwezo wa kucheza na program tofauti za kutengeneza movie japo sina uwakika kwa sasa ni program gani ndo best.ni muuandishi mzuri na kuna baathi ya plot za movie nimetengeneza ila ndo ziko kwenye book tu.NINGEPENDA KUJUA kwa kuanza naitajika kua na capital kiasi gani...je kuna mtu anaweza kuwa business partner wangu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…