Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

mayome

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
62
Reaction score
21
Habarini wote muliopata hamasa kusoma nilichoandika.

Mimi niko na biasha fulani ambayo kwa sasa ipo vizur kwa kiasi. ila nataka kuanzisha line nyingine ya biashara ila swala lamtaji linanirudisha nyuma. kwaufupi maelezo ni haya hapa

1. Aina ya biashara tarajiwa ni BUTCHERY SHOP
2. Eneo ni MBEYA TOWN
3. Kiasi unachokutajika kua nacho ni TZS.3 to 4 mills, unaetaka kushiriki unaweza kuwekeza zaidi ya hapo nafasi ipo na kuna mpango wa biashara wenye dhamani yamillioni za kitazania 68.
4. Anahitajika mtummoja tu atakayeweza changia kiasi hicho
4. ukiwa mbeya ni vizuri ila hata ukiwa kwingineko tanzania itafaa
5. Mimi naweza kua msimamizi mkuu wa biashara kama wewe hutakua nauwezo
6. Kama unaweza kukopa kwingineko pia itakua sawa na mkopo huo tutaurejesha ndani ya miezi 5 tangu biashara kuanza
7. kwa MAELEZO MENGINE wasilianana mimi kwa PMs, Email: semkiwa@gmail.com au kwa simu No. 0712244831
8. Biashara inatakiwa kuanza kati ya tar 01 na 11 mwezi wa 5 mwaka 2013
9. Mwisho wa kutuma maombi au maulizo yoyote ni tarehe 10/05/2013

Ahsanteni wote mliochukua jukumu la kusoma nilicho andika
 
Du! utanihakikishia vipi kama si utapeli?

sasa unamuuliza nani hapo mkuu? kama mimi ni tapeli jua lazima ntasema co tapeli ili nitete kazi yangu na kama unauliza members wengine nao sizani kama watakujibu chochote zaidi ya kukurudishia swali kwako! chamuhimu kwa mtu mwenye uhitaji tuwasiliane alafu afanye maamuzi kua huu ni utapeli au ni business ya ukweli kulingana na akili yake itakavyomtuma.

acha kufanya wengine wawe na mtazamo hasi mkuu
 
Ndugu, swali langu linaweza likawa jepesi jepesi kama utakurupuka tuu kulijibu.
Mtu anakuja kuwekeza 3-4milioni kwako, nini security ya pesa yake atakayokuja kuwekeza?
Swali halikulenga kiimani bali lipo ki'business zaidi.
 
yako mambo mengi ndiomaana nimesema yale ya ziada tunaweza tukazungumza nje ya hapa mkuu! kwa mfano tunaweza tukakubaliana mashine na vifaa vinginevyo vitanunuliwa kwa jina la aliyetoa pesa husika badala ya jina la umoja wetu kama taasisi! hilo ni moja lakini kuna njia nyingi ambazo zinaweza kumfanya mtu apate uhakika wa kile alichowekeza.
 
Nikupongeze kwa idea nzuri hii hasa kwa huko Mby, nina amini ukipata partiner mzuri utafanikiwa. Moja ya changamoto kubwa ktk kujenga ushirika ni hili la uaminifu, kwa hiyo jiandae kulikabili zaidi ukiingia ktk operations zako. Tapeli sio lazima uwe wewe, anaweza hata huyo partiner unayemtafuta akawa tapeli. Kwa hiyo tafuta means nzuri ya kulinda hisa za mdau wako na umridhishe kuwa hela yake haitapotea kienyeji.

Kupotea kupo, lakini mazingira yakubalike kisayansi pasina hoja, lakini sio kuwe na mianya ya kupotea amana zenu halafu tuseme kazi ya shetani !!!!.
 
Back
Top Bottom