This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Kwanini nasema hivi, Kuna mambo au taarifa ambazo hakutakiwa kuongea chochote. Yaani Manara hakutakiwa kuongea chochote baada ya ule mkataba kusainiwa.
Lakini alianza kutoa kauli za dharau dhidi ya Simba kwamba Sasa Simba ipo mikononi wa GSM. Wapende wasipende watavaa nembo, kupanga ni kuchagua. Akaweka nembo ya GSM nyekundu na ile origino ya GSM.
Alisahau au pengine hakujua magumashi aliyofanya tajiri yake hadi kusaini mkataba ule. Pengine alikuwa hajui malengo ya mbali ya GSM kuitumia Simba ambayo Ina platform kubwa Afrika kujitangaza kibiashara.
Hakujua pengine sheria za mikataba km ile, ilitakiwa nini lifanyike ili kuwe na fair competition bali alikimbilia kuropoka bila kuwaza kwa kina.
Manara ni kama alichangia kuwaamsha Simba kuyatafakari kwa kina maslahi yake.
Manara ni mbwa anayebweka sebuleni.