Wazo: Manara amechangia kuwaponza GSM

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Kwanini nasema hivi, Kuna mambo au taarifa ambazo hakutakiwa kuongea chochote. Yaani Manara hakutakiwa kuongea chochote baada ya ule mkataba kusainiwa.

Lakini alianza kutoa kauli za dharau dhidi ya Simba kwamba Sasa Simba ipo mikononi wa GSM. Wapende wasipende watavaa nembo, kupanga ni kuchagua. Akaweka nembo ya GSM nyekundu na ile origino ya GSM.

Alisahau au pengine hakujua magumashi aliyofanya tajiri yake hadi kusaini mkataba ule. Pengine alikuwa hajui malengo ya mbali ya GSM kuitumia Simba ambayo Ina platform kubwa Afrika kujitangaza kibiashara.

Hakujua pengine sheria za mikataba km ile, ilitakiwa nini lifanyike ili kuwe na fair competition bali alikimbilia kuropoka bila kuwaza kwa kina.

Manara ni kama alichangia kuwaamsha Simba kuyatafakari kwa kina maslahi yake.

Manara ni mbwa anayebweka sebuleni.
 
Manara yupo pale kupiga hela tu lakini mapenzi yake tangu apate akili ni Simba na ndivyo alivyo, hapo aliua ndege wawili kwa jiwe moja.
Your browser is not able to display this video.


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwanini nasema hivi, Kuna mambo au taarifa ambazo hakutakiwa kuongea chochote. Yaani Manara hakutakiwa kuongea chochote baada ya ule mkataba kusainiwa...
Ni vyema akasaidiwa kutambua kuwa Yanga sio mdhamin mwenza wa ligi bali GSM.
 
Kwanini nasema hivi, Kuna mambo au taarifa ambazo hakutakiwa kuongea chochote. Yaani Manara hakutakiwa kuongea chochote baada ya ule mkataba kusainiwa...
Kama una chuki na manara sema tu, lakini hiyo sio sababu , iliyopelekea hayo kutokea, tatizo la mashabiki wa simba mnataka ionekane kuwa ndio imechangia ili afukuzwe huko, na roho zenu zifurahi!

Kwani bado anawatesa sana, GSM, nao walivyo na sifa za kijinga usije shangaa huko mbeleni wakaja kudhamini michuano ya club bingwa/kombe la washindi , ili tu simba akifika huko lazima tu avae nembo yake!!kama ilivyo TOTAL kwa sasa!

Ni mambo ya kishamba sana, ndio mi timu yenu ina miaka zaidi ya 80, lakini ni MAKUBWA JINGA TU.Angalia Uganda ligi mbovu lakini wana timu ya taifa imara!!nyie kalieni na usajiri wa misifa tu ambayo haina tija kwa taifa!!eti ligi ya 8 bora afrika so what???!
 
Huo ndio ukweli huyo zeru zeru a.k.a mwarabu toleo la mwisho ndie anawaharibia gsm ,kwa akili yake yeye aliongea vile akijua ameshashinda Vita dhidi babra na mo ndio maana akatoka na zile kejel na watu wakibao wakamuunga mkono ,asijue anawaamusha adui zake usingizin na kuanza kunoa akili Zaid namna ya kupanchi hiyo dharau.

Pia kitendo Cha yanga kuwa front line kwenye kutia sain pia kuifaya gsm ndio yanga hapo ndipo walipofeli Sana Tena vibaya mno.

Hii mishenj ingechezwa kimafia na kwa ukimwa Zaid haya yasingekuwepo Leo hii ,gsm Ni wajinga fulan walikuja na mkataba huu kwa malengo mawil moja Ni kuteka hisia za wana yanga mbili Ni kujitangaza kibiashara Zaid na hapa walimtarget Simba maana ndie Ana funnybase kubwa mitandaoni ,ajabu wakachanga karata zao kifala kwa kuanza kuwakejeri watu ambao wanawategemea kwa namna moja au nyingine kupush ajenda yao ya kufika mbali Zaid kibiashara.

Hii hasara kawatia huyo zeru zeru na niamin mm baada ya mechi ya kesho mgogoro unaenda kuwa mkubwa Sana Hadi kupelekea huo mkataba kutenguliwa ,na ukitenguliwa huo mkataba Simba anaenda kufanyiwa figisu za kila aina kwenye ligi hii maana atakua kaharibu ugali wa wakubwa wenye tff yao.

Nin kitatokea ,Ni kwamba Simba wakubal huu msimu utakua mgumu kwao maana Hadi marefa wanaenda kupewa maelekezo namna ya kudeal na Simba ili lengo tu wakomolewe na ubingwa wasibebe.

Kuna matukio ya ajabu kwenye mechi za Simba yanaenda kutokea ,uonevu wa Waz waz na kila aina ya figisu.
 
Kama una chuki na manara sema tu, lakini hiyo sio sababu , iliyopelekea hayo kutokea, tatizo la mashabiki wa simba mnataka ionekane kuwa ndio imechangia ili afukuzwe huko, na roho zenu zifurahi...
Mzee unatesekea ukiwa wapi? Daaah
 
Kama una chuki na manara sema tu, lakini hiyo sio sababu , iliyopelekea hayo kutokea, tatizo la mashabiki wa simba mnataka ionekane kuwa ndio imechangia ili afukuzwe huko, na roho zenu zifurahi!!kwani bado anawatesa sana...
Betway ni mdhamini mwenza klabu bingwa afrika umeona logn yao kwenye timu shiriki zaidi ya logo ya mdhamini mkuu total
 
Sheria zina mipaka yake anayeharibu mpira ni Wallace karia na Simba ina wabobezi wa SHERIA zote za mpira kuliko timu yoyote hapa Africa mashariki rejea umahiri wa Adeni Rage kwenye uzoefu wa SHERIA za uongozi wa mpira sio mwanasheria ila ni mzoefu anazijua kinagaubaga.
 
Kwa hiyo Manara asingesema Simba mngevaa nembo ya GSM?
 
Itakuwa alikunyandua akakuacha mbona unamfuata fuata?
Ukiachwa achika
 
Kawaponza vipi wakati timu 15 kati ya 16 zimevaa nembo?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…