mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 685
Naomba sana tena naomba kwa unyenyekevu wote. Kuanzia sasa viongozi wetu wa jf hebu onyesheni uzalendo zaidi kwa mada zile zinazohusu haki. Maslahi na uzalendo wetu! Naomba sana kila inapotokea hoja kama hizo msiruhusu mtu wa kututoa kwenye mstari huo kwa kuleta hoja za kutugawa wapinzani na chama tawala! Sisi tuwe zaidi ya makundi hayo mawili! Tupiganie haki zetu, uhuru wetu na sii upande mmojawapo wa pande hizo mbili. Napenda kusisitiza wahathirika wa sheria za kipuuzi kama za uhuru wa habari waathirika ni sisi na sii walinzani wala watawala.