Wazo na Ushauri: Serikali ikisimamia na kutoa elimu vizuri vitambulisho vya wamachinga, inaenda kuvunja rekodi nyingine kukusanya mapato

Wazo na Ushauri: Serikali ikisimamia na kutoa elimu vizuri vitambulisho vya wamachinga, inaenda kuvunja rekodi nyingine kukusanya mapato

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga.

Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi.

Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata mwamko wakufanya biashara na nafasi na fursa zipo sasa wenyeviti wa mitaa tukaongee sasa na wafanyabiashara katika mitaa yetu tuolozeshe na kuwapa elimu TRA wakitusaidia aiseeee pesa itayokusanywa siwezi elezea wafanyabiashara wadogo ni wengi mnooooooo.
 
Ni vema malipo yafanyike benki katika account ya serekali. Sio kukusanya pesa kwa wana CCM.
 
Back
Top Bottom