WAZO: Safari kuufikia uchumi wa kati kwa kila mwana jf

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
735
Ni wakati sasa wa kusafiri pamoja kuufikia uchumi wa kati, kila mwana jf atupie wazo lake analoamini linaweza kumtoa katika hali ya sasa na kumfikisha kwenye uchumi mkubwa. Kwa wale wenye Business plan washee nasi pia tuianze safari yetu sasa

Mimi binafsi nipo kwenye mchakato wa kutafuta mtaji kuanzisha kampuni yangu ya uuzazi mazao ya shambani.

Karibuni
 
1.kanunue shamba la michungwa Tanga,Muheza

2.Fuga kuku wa mayai au/ na wa nyama.

3.Fungua machine ya kukoboa mpunga kisha uwe una Pack mchele kisa sambaza kwenye taasisi (mf:shule binafsi)

3b. Mashine ya kukoboa na kusaga unga wa sembe

4.Kilimo cha mboga mboga (Kwa njia ya kisasa.

5.Jifunze Forex trading 'JIFUNZE'

NB: 2030 Kilimo kitakua na thamani ya $1 trillion
 
Tufikirie chini Kwanza tunaanza wapi na biashara ndogo ndogo ukuze mtaji then tuwe na mawazo ya kununua mashamba #me lengo langu Bila kujali u handsome wangu nataka niwekeze kwenye biashara ndogo ndogo kama kumi nikianza na moja moja ikikaa Sawa nanzisha nyengine lengo la mwanzo ni kuweka elfu kila kila siku kwa mwezi ni laki na nusu pia kufikia hatua kila biashara inaingiza Zaid ya elfu kumi au elfu kumi nikiwa na plan niingize laki kwa siku kwa mwezi ni Milioni 3 #kama unawzo au Kuna fursa zipo mkoa wowote hasa kama Kuna sehemu Kuna uhaba vitoweo kama samaki nipe mchongo mkoa wowote me naibuka na samaki wa baharini
 
Aisee nimejikuta napata madini kupitia mawazo ya wadau...
 
utakuwa unanunua na kuexport nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…